Posts

  ANGALIA MATOKEO YA KIDATO CHA SITA ACSEE 2025 HAPA

FOMU YA MAELEZO YA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2025 SHULE YA SEKONDARI MWAMASHIMBA

  https://eu.docworkspace.com/d/sIFb-s83WAYvw6cIG?sa=601.1074
ANGALIA HAPA MATOKEO YOTE YA KIDATO CHA NNE 2024  
JITIHADA ZINALIPA, HAYA HAPA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 KWA SHULE YETU!  

FOMU YA MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2024 KATIKA SHULE YA SEKONDARI  MWAMASHIMBA-KWIMBA,MWANZA

https://eu.docworkspace.com/d/sIFPeotnaAfuNg7MG?sa=share.copy_link
Image
HAKIKA UKIJITUMA UTAONEKANA. MAMA YETU MKUU WA SHULE SAMBAMBA NA WATOTO,,/WAJUKUU ZAKE AKIWA  AMESHIKILIA VYETI VIWILI VYA KUTAMBULIWA MCHANGO WAKE PAMOJA NA WALIMU WAKE KWA UJUMLA KATIKA MATOKEO YA SHULE YA SEKONDARI MWAMASHIMBA KIDATO CHA SITA 2023 "CERTIFICATES OF APPRECIATION" TOKA OFISI YA MKUU WA MKOA, AMBAPO MKONO WAKE WA KUSHOTO UMESHIKILIA CHETI CHA PONGEZI KWA KUSHIKA NAFASI YA NNE KATIKA SHULE ZA MKOA WA MWANZA NA KANDA YA ZIWA KWA UJUMLA NA MKONO WAKE WA KULIA UMESHIKA CHETI CHA PONGEZI KWA KUONGEZEKA UFAULU KATIKA SHULE YA MWAMASHIMBA SEKONDARI UKILINGANISHA NA MWAKA JANA NA MIAKA MINGINE YOTE TANGU KUANZISHWA KWA SHULE HII. HONGERA SANA MAMA YETU, TUNAKUAMINI TUNAKUPENDA,TUNAKUTHAMINI, HAKIKA UMELETA MAGEUZI MAKUBWA SANA KATIKA SHULE YA SEKONDARI MWAMASHIMBA!🙌🙌👏👏💛💛💚💚